Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

Hahahahahaha kweli hapa jamvini kuna machizi wengi huyu ñaye anatafuta mme eti amechoka kua na mme wa mtu? Njoo tusipendi tu kisha ondoka zako
 
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
so unapendea kazi yake??
je akija kukosa kazi na mapenzi yameisha...???
 
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
Ww unafanya kazi wapi mm ninasifa unazotaka na mm nataka msichana anayefanya kazi na ajue kupeana co kupokea tuu
 
In kawaida mwanaume kutafuta mwanamke wa kuoa ila sio mwanamke kutafuta mwanaume wa kumuoa kuna namna APA msichana mzuri na anaejiheshimu awezi akakosa mwanaume wa kumuoa mbaka aanze kufanya matangazo
 
0cc4da82bc285c142d22c6c74386dcbc.jpg

[emoji23][emoji23][emoji23]

Kulingana na vigezo tayari ushapigwa KO matata
 
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC

mimi nina 22 vigezo vyako vimetima
 
When you are in love its not about you nor your
partner its just about how far can you go to see smile
on their face!!
You are not even afraid to get a bad name too if its
lOve you truly do !
 
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC

Msichana anayetembea na mme wa mtu wakati hajaolewa hastahili kuwa Mke wa kwanza wa mtu... Anatakiwa awe Nyumba ndogo tuu maishani ... Ashakuwa second class girl endelea naye tuu
 
Back
Top Bottom