Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

ULINISOMESHA WEWE?
Ila sisi mahandsome huwa hatutulii na mke/mwanamke mmoja kwasababu huwa tunapata usumbufu sana kutoka kwenu kina dada.Huu ndo ukweli hivyo usije kulalamika mumeo akianza kusumbulia na wanawake wenzio.
 
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
Ww uko wapi na unafanya kazi gani?
 
Iam truely sweet and i have a good heart i dont want to date one's husband i wish to have my own which is why i have posted this, but people seem to take it as a joke it pisses me off
Mrembo, Kiswanglishaaaaaaa au ni Englishaaa?! WHICH IS WHY?

by the way, mimi nilikua tayari kwa maana age limit, handsome sina hakika, kazi ninayo nzuri tu. Dini hapo babie inanidisqualify!
 
Mungu kashindwa kukujibu had I uje umtafutie huku
 
Mm kuna mume wa MTU anakuja kwa mwendo kasi zaidi ya mabasi.sijui nimfanyage.Kama anahela itakula kwake. Ila HIV ni muhimu.ivi kumbe wanachoshwaga ee
 
0cc4da82bc285c142d22c6c74386dcbc.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sielewagi kabisa mtu ambae anapiga picha mwenywe ( sio group photo) alaf anachuchumaa... what for sasa??? Uonekane umahiri wako wa kuchuchumaa au
 
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
Kama unataka mfanyakazi ni kwa nini usiolewe na hiyo kazi kabisa kuliko kuendelea kuzura huku mitandaoni.
 
Iam truely sweet and i have a good heart i dont want to date one's husband i wish to have my own which is why i have posted this, but people seem to take it as a joke it pisses me off
Hivi ni kweli una degree au umetudanganya? Kazi ipo.
 
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
Haya wenye kazi zenu changamkieni fursa hiyo.
 
Eti awe anajua kuvaa kwani kuna members asiyejua kuvaa humu anatembea uchi?
 
Back
Top Bottom