BLESS MIHILA
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 304
- 70
Easy come easy go,usithubutu kuonja utakufa!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa kaka yake JescaUtawekaje picha humu ,c hmfuate pm,ww ni ngosha kwelikweli
sio lazima iwe ww mwayaKupata mchumba itakua Ngumu labda kachumba ka kuingia na kutoka mana post yako tu inasema umechoka kutembea na mume wa mtu hapo ndiyo penye shida hamna kitu kinatuuma wanaume kama kueleza wazi kwamba nilikua nafanya hizo mamba bora ungetudanganya kama alivyoimba shetta na diamond nidaganye danganye.natumai ungesema kuwa wewe ni bikra mpaka ndoa ingekua ushapata lakini mmmmm.. Kula makombo hahaha no.!
Kuna Uzi kafungua anasema mume wa mtu kamdatisha ndio maana watu wanataka kujua.Hebu dada niny
Naomba unisaidie kitu
Je ktk maelezo yako kuna sehemu labda
Umekiri kuwa ulikuwa na mahusiano na mume wa mtu?
Coz naona wengi wanaongelea hichi kitu!
Sisi binadamu bhana
Mtu akitaka kuuza kitu chake kama
Gari, nyumba n.k
Atatangaza humu nasi tutafanya bei
Mtu akitaka kununua kitu atatangaza humu nasi tutafanya bei
Katika hivyo vyote wala HATUSHANGAI
Ila ajitokeze humu mtu anataka mke au mume
Duh
Kila tusi utaambiwa na maneno mengine ya kejeri, dhihaka n.k
Coz tunaona kama ni kujidhalilisha, kujitangaza au una kasoro Fulani hivi
Hapa ndipo tulipofika but muda si mrefu
Hili nalo tutaliona kuwa ni la kawaida
Mtu akutuma jambo lake la moyoni kama hili
Labda ukalisoma alafu likakukera
Hivi ukikaa kimya bila kukoment au kutoa tusi utapungukiwa na nini?
Kuliko kumharibia mwenzako siku kwa matusi si bora umdharau alafu ukae tu kimya?
Hahahaaha
Hata mimi sishangai naweza kuambulia matusi kisa tu nimeyasema haya
Hili nalo si jibu jema kwa mtafuta wachumba!!!ULINISOMESHA WEWE?
Kasema anatafuta handsome na romantic mbona wewe upo serious na inaonyesha siyo ...
Huyo labda umuumbe ww mwenyew. Mapenz ni hisia hivyo huwez kumlazimisha mtu akupende. Dada yangu maana huko mtaan umekosa mpaka uje huku? Humu ni sawa na kurusha jiwe gizani. Ila pole sanaMimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
Mwachenu mshikaji mwenyewe amepozi ki romantic...yani wewe ndio bonge la kiazi, eti umeweka poz!😀😀😀
Sasa tukianza kukosoana humu ndani sio fresh wadau mtu kuweka picha imekuwa kero jamani