nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,976
- 1,181
Mkuu nimecheka mpaka basiAka kauzi kamenivutia sio siri..anyways dada nitafute tuyajenge..!!mwenyew nmechoka kutembea na wake za watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimecheka mpaka basiAka kauzi kamenivutia sio siri..anyways dada nitafute tuyajenge..!!mwenyew nmechoka kutembea na wake za watu.
which is why =?Iam truely sweet and i have a good heart i dont want to date one's husband i wish to have my own which is why i have posted this, but people seem to take it as a joke it pisses me off
Hahaha hiyo Tai au pazia.aH HAHAHAHAHA kaka mtoto anataka anaejua kupiga pamba,
Hiyo tai ukija nayo mjini utavulia ubungo,
Mana ni style ya mavazi ya watu wa namanyele,
Kimjini mjini tunavaa tai kama za guardiola au mourinho, zidane pia, tai inakuwa kama kamba
hakuna mtu asie na matusi mkuu ....ahahaaa sema tu kuogopa kuyajua ila mimi nimefurahia sana alivojidefend"Mke" mwenye matusi hivi......hapana....
Mkuu mrembo kama huyu sijui kama atakuelewa hahaahaa
Utawapata tu wapo wengi tu mbonaMimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
Iam truely sweet and i have a good heart i dont want to date one's husband i wish to have my own which is why i have posted this, but people seem to take it as a joke it pisses me off
apo shuhuli ipo
I wish to have my own ,that is whyIam truely sweet and i have a good heart i dont want to date one's husband i wish to have my own which is why i have posted this, but people seem to take it as a joke it pisses me off
HAO WA MTAANI NDIYO SISI MKUUHuyo labda umuumbe ww mwenyew. Mapenz ni hisia hivyo huwez kumlazimisha mtu akupende. Dada yangu maana huko mtaan umekosa mpaka uje huku? Humu ni sawa na kurusha jiwe gizani. Ila pole sana
Cc: Nyani Ngabu, us baby, us baby.Valentina ebu njoo pm
So are you still not serious?I WELL KNOW THE SPELLING ITS JUST THAT I DID NOT PUT MUCH SERIOUS ON IT
Yawezekana hujijui kama handsome ila ukimtumia picha akakuona handsome kuliko alivyotarajia.Jitose tu mkuu.Nina vigezo vyote kasoro handsome