Natafuta mchumba wa kuweza kuoana na kujenga familia

Habari wanajamvi,
Mimi ni msichana umri miaka 26,muislamu,Elimu ya chuo kikuu,muajiriwa serikalini.

Natafuta mchumba umri 32+,muislamu mwenye khofu ya mungu,elimu ya chuo kikuu,kabila lolote lile.

Kwa mawasiliano zaidi PM,
Shukran
Mm n nan atheis je upo tayar kama vp n pm
 
Habari wanajamvi,
Mimi ni msichana umri miaka 26,muislamu,Elimu ya chuo kikuu,muajiriwa serikalini.

Natafuta mchumba umri 32+,muislamu mwenye khofu ya mungu,elimu ya chuo kikuu,kabila lolote lile.

Kwa mawasiliano zaidi PM,
Shukran
Karibu PM, tuzungumze
 
Nakuombea dhima yako njema ufanikiwe
 
Habari wanajamvi,
Mimi ni msichana umri miaka 26,muislamu,Elimu ya chuo kikuu,muajiriwa serikalini.

Natafuta mchumba umri 32+,muislamu mwenye khofu ya mungu,elimu ya chuo kikuu,kabila lolote lile.

Kwa mawasiliano zaidi PM,
Shukran
akusikie alojuu ya mbingu 7 !!
Yaa Rabbi akujaalie mume wa kheri,masikilizano na kizazi chema....
 
Ile dahawa tunayo pendelea watu wa pwani unatoa na uko teyari kuja Mombasa tufahamiane?
 
Back
Top Bottom