Natafuta mchumba wa kuweza kuoana na kujenga familia

Natafuta mchumba wa kuweza kuoana na kujenga familia

Umefanya ubaguzi wa dini, mimi nipo interested but I am christian
 
Njoo pm,ila uje na tafsiri ya surat an nisaa, na kama umehifadhi angalau juzuu moja itakua vema ukhty.
 
Mimi nina hitaji linalofanana na lako,...mimi natafuta kweli kabisa wa kumuoa.. Nimekua nikiingia PM nikiwa serious,.. Lkn nakutana na kidume.. Sasa nikishakuta hilo nachoka, kwakua siko tayari kupakua kidume... Kwahyo kila nionapo post hizi, nakata tamaa
 
Nitampata wapi mie kila kona vigezo vya umri vinanipiga chini...

Unavyo hitaji hata mie nakuhitaji, Hebu nicheki PM tuyajenge kiutuuzima. Japo umri wangu miaka 29
 
Back
Top Bottom