BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Oyaa tatish! Mbona hujanicheki? Au unazingua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oyaa tatish! Mbona hujanicheki? Au unazingua?
Shehe subiri mpaka utimie miaka mitatu si mingi, utamkuta tu huyu InshaallahNitampata wapi mie kila kona vigezo vya umri vinanipiga chini...
Unavyo hitaji hata mie nakuhitaji, Hebu nicheki PM tuyajenge kiutuuzima. Japo umri wangu miaka 29
Mbn hujasema awe na umbo gani? Sifa zote ninazo hapo kwny six packs nitafellHabari wanajamvi,
Mimi ni msichana umri miaka 26, muislamu, elimu ya chuo kikuu, muajiriwa serikalini. Natafuta mchumba umri 32+, muislamu mwenye hofu ya Mungu, elimu ya chuo kikuu, kabila lolote lile.
Kwa mawasiliano zaidi PM,
Shukrani
Mbn hujasema awe na umbo gani? Sifa zote ninazo hapo kwny six packs nitafell
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shehe subiri mpaka utimie miaka mitatu si mingi, utamkuta tu huyu Inshaallah
Vumilia tu, utamfikia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo miaka mitatu nae si ndio kwanza anazidi kupaaa
kila la Kheri dear.. Praying for ur success.. Lakini pia usisahau Ku invest katka ardhi Ni asset nzuri kwa Leo Na badae.Hapana hujatengwa ni mapendekezo binafsi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vumilia tu, utamfikia
kwann aspate mbn wapo weng tu au ww unatak huo mzigo nn[emoji23] [emoji23] [emoji23]VigeZo hivo humpati mama
ili upige chabo uongoMkuu akikujibu fanya kuntag.