Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Khaaaa itakuwa paw kaona comments za king'asti ndo akaona kawivu. Sisi mbona tumekuwa tu serious jamani. Modes sio vizuri jamaniHeaven Sent Khantwe atoto mmefanya tangazo langu limekuwa 'joke' sasa thread imehamishiwa CHIT CHAT, nimewamaindi kinoma! Hivi hawa Moderator Invisible nani amewaambia mimi natania? Nimechoka kuwa single natafuta mchumba nimuoe, sasa huku chit chat kuna wachumba?!!