Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] nakufata huko huko unakopitaNapita tu
Tupe siri yako ya ekisiposhza bana[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Darubini yangu imeona mbali..Mbona hapa mnanichanganya, madhara gani tena kwenye biashara?
Mweeeeeh! Mchumba mbona unakuwa mkali sasa? Tulia bwana unajifanya huoni au?Heaven Sent Khantwe atoto mmefanya tangazo langu limekuwa 'joke' sasa thread imehamishiwa CHIT CHAT, nimewamaindi kinoma! Hivi hawa Moderator Invisible nani amewaambia mimi natania? Nimechoka kuwa single natafuta mchumba nimuoe, sasa huku chit chat kuna wachumba?!!
Mama usitubanie fursa wenzio, hebu sema fasta niwahi AM kabla haijawa PM
Mweeeh!! Mie nina exsipozha ya matombo tu ndiko Heaven Sent ananipelekaga tu sasa kanikosesha mchumba hivihivi[emoji24] [emoji24]X-pozha ukose wewe!, si ni mpaka!
Halafu na akili juu, sio kama wadada wa mujini!
Unatafuta nini huku lakini?Darubini yangu imeona mbali..
Napita tu
Wewe pita mimi sina mkuki.
JF ni full burudaniWewe ungesimama ningekimbia....🙂🙂🙂🙂
Naimarisha ulinzi..Mana nimekuona unazurula hukuUnatafuta nini huku lakini?
Darubini yangu imeona mbali..
Vipi bi mkubwa unatembelea mikono nini ? Maana shape ni neno tataYaani ungewatupia kigezo cha shape kama yangu hamna mtu angejitokeza. Ha Ha ha
Wapo wengi tu mbona!Heaven Sent Khantwe atoto mmefanya tangazo langu limekuwa 'joke' sasa thread imehamishiwa CHIT CHAT, nimewamaindi kinoma! Hivi hawa Moderator Invisible nani amewaambia mimi natania? Nimechoka kuwa single natafuta mchumba nimuoe, sasa huku chit chat kuna wachumba?!!