Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

atoto kwa hivi vigezo vya RRondo itabidi kuachana na mambo ya mihogo, magimbi na chai sukari debe. Huu ni mwendo wa kuwa petit tu.

Salad kwa sana halafu bila dressing, coz dressing nyingi zina mafuta. So yea!...
Hahaaaaa! Chezea RRONDO wewe, huyo outing zake ni unapelekwa coco kula mihogo tu.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hahahaaaaa! Sasa wewe utaniharibia nikose mchumba

Wewe sio wa kukosa mchumba hata!
Tufundishe tu wengine kwenda vijiwe vyako vya faranga nyingi. Wengine hatujui.
Tena kuna kimoja kiko mujini mnakaa mnakula huku mnazunguka mnaiona Dar yote. Mweh!

Heaven Sent panaitwaje tena pale? huyu atoto atakuwa hapo kama kwake.
 
Natafuta mchumba baadae awe mke wangu.

Awe na sifa zifuatazo;
1.Mzuri kama Heaven on Earth
2.Tabia nzuri kama Heaven Sent
3.Awe na exposure kama kui
4.Awe amesoma na awe na akili kama Karucee

Mwenye sifa hizi zote ani PM nimpe wasifu wangu.
Wazuri kama heaven on earth nenda ufilipino, wenye akil sana nenda Israel, na mwenye exposure kamchukue lady gaga
 
Wewe sio wa kukosa mchumba hata!
Tufundishe tu wengine kwenda vijiwe vyako vya faranga nyingi. Wengine hatujui.
Tena kuna kimoja kiko mujini mnakaa mnakula huku mnazunguka mnaiona Dar yote. Mweh!

Heaven Sent panaitwaje tena pale? huyu atoto atakuwa hapo kama kwake.
Hahaha sasa mbona unataka kunidhalilisha mbele za watu, huo ndo uwanja wako na x-pozha yako. Me sijawahi kufika daslama ila napasikiaga tu ubungo. Mnialike mjini jamani nipate x- pozha na mimi
 
atoto kwa hivi vigezo vya RRondo itabidi kuachana na mambo ya mihogo, magimbi na chai sukari debe. Huu ni mwendo wa kuwa petit.
Salad kwa sana halafu bila dressing, coz dressing nyingi zina mafuta. So yea!...
Dressing me nikajua mambo ya nguo tena au kufanyaje kidonda sijui. Kumbe wa mjini mna maana yenu nyingine shaa, x-pozha yangu negative

Nyie wenye x-pozha ndo mnakula salad Hehehe nicheke mnyaki mie. hapa kula tu, diet peleka mjini aaah. Afu huyo petit sijui ndo petit man wakuache au kitu gani?
 
Mbona huweki sasa? Nimesubiri hadi nimechoka.
Asije akatuwekea mambo ya x-pozha na yeye. Afu mambo ya akili, me vyeti vyangu vya mwandishi bora wa Insha darasa la 3E na cha umitashumta vipo mbali, ntashindwa kuapply
 
Nimekuitia mchumba huyoo alikua anatafuta kwa kasi ya ajabu naona sasa Bwana ametenda brenda18 bae bahati haiji mara 2 tumia fursa hiyoo
Aaah huyo kashasema mwanamme sijui awe na nini na nini sasa hivyo mimi sina.
 
Hahaaaaa! Chezea RRONDO wewe, huyo outing zake ni unapelekwa coco kula mihogo tu.
Dressing me nikajua mambo ya nguo tena au kufanyaje kidonda sijui. Kumbe wa mjini mna maana yenu nyingine shaa, x-pozha yangu negative

Nyie wenye x-pozha ndo mnakula salad Hehehe nicheke mnyaki mie. hapa kula tu, diet peleka mjini aaah. Afu huyo petit sijui ndo petit man wakuache au kitu gani?
Baada ya kukosa vigezo naona juhudi zote mnaziweka kwenye kukatisha wenzenu tamaa.......Mimi nimeweka vigezo vinne tu, mbona kuna mabinti humu wanaweka gazeti la vigezo?!!! Mkuki kwa nguruwe............
 
Aaah huyo kashasema mwanamme sijui awe na nini na nini sasa hivyo mimi sina.

Sasa ungetangaza ulivyonavyo ndugu yangu watakaoridhika wapangane foleni PM ... Halafu kuna kamsemo "mwanaume usipojua kunyenyekea na kubembeleza mke utamsikia kwa bony mwaitege tu" .... komaa nae tu huyo
 
Hahahhaaaa!,...hapana bwana, mihogo labda ya hamu tu...lol!
Ndio maana nilitoa kigezo cha exposure kama yako....hajui pale coco nakula mihogo na ma-bilionare wenzagu Wahindi!
 
Sasa ungetangaza ulivyonavyo ndugu yangu watakaoridhika wapangane foleni PM ... Halafu kuna kamsemo "mwanaume usipojua kunyenyekea na kubembeleza mke utamsikia kwa bony mwaitege tu" .... komaa nae tu huyo
Aah siwezi kutangaza hadharani, natangaza kwa candidates tu.
 
Baada ya kukosa vigezo naona juhudi zote mnaziweka kwenye kukatisha wenzenu tamaa.......Mimi nimeweka vigezo vinne tu, mbona kuna mabinti humu wanaweka gazeti la vigezo?!!! Mkuki kwa nguruwe............
Hahaha Ukiona mtu anakata tamaa ujue vigezo hana, mwenye vigezo anawahi Pm . Sisi vigezo hatuna, nani kasema au unatubembeleza kiujanja ili tuapply? Hivyo vigezo mbona vya kawaida tena ukiweza ongezea tu, sisi tumeover qualify buana
 
Piteni hivi >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
 
Back
Top Bottom