Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini macho yangu. Ndio kusema sina changu? Lazma naota. Kweli sometime mashauzi siyo kabisa. Naona tuwivu x wangu amepata mfarijiWana JF baada ya interviews na mchujo mkali sana hatimaye nimepata mchumba! Ila kama nilivyosema awali kulikuwa na kila dalili ya ku-compromise na imebidi nifanye hivyo.
Vigezo vinne nilifikiri ni vichache sana, na kiukweli ni vichache ila vimekuwa adimu humu JF au wenye navyo washachuliwa kama King'asti . Kwahio nimempata ambae angalau amefikia vigezo kwa at least 60% kwenye kila kigezo ila niseme ukweli kigezo cha exposure ilibidi ni-standardize maanake score zilikuwa very low.
Asanteni kwa comment zenu zimesaidia sana kujenga zaidi ya kubomoa. I'm officially taken ukiniona PM kwako nakuruhusu uje kunisemea.
Hahahaaaaa!! Mtoto una kumbukumbu we sikuwezi, hebu ondoka usijenipotezea bahati[emoji85] [emoji85] [emoji85]Wewe sio wa kukosa mchumba hata!
Tufundishe tu wengine kwenda vijiwe vyako vya faranga nyingi. Wengine hatujui.
Tena kuna kimoja kiko mujini mnakaa mnakula huku mnazunguka mnaiona Dar yote. Mweh!
Heaven Sent panaitwaje tena pale? huyu atoto atakuwa hapo kama kwake.
Ohoooo! Hapana chezea rrondo wewe.Hahahhaaaa!,...hapana bwana, mihogo labda ya hamu tu...lol!
Utakulaje majani kama ng'ombe[emoji134] watu wa mujini wana balaa hawa!Dressing me nikajua mambo ya nguo tena au kufanyaje kidonda sijui. Kumbe wa mjini mna maana yenu nyingine shaa, x-pozha yangu negative
Nyie wenye x-pozha ndo mnakula salad Hehehe nicheke mnyaki mie. hapa kula tu, diet peleka mjini aaah. Afu huyo petit sijui ndo petit man wakuache au kitu gani?
Ole wake, asitutanie kabisaAsije akatuwekea mambo ya x-pozha na yeye. Afu mambo ya akili, me vyeti vyangu vya mwandishi bora wa Insha darasa la 3E na cha umitashumta vipo mbali, ntashindwa kuapply
Hahaha bahati ipi tena unayoitafuta? Hiyo habari yako na kui mbona ilinipita sasa jamani? Nisimulieni basi kidogoHahahaaaaa!! Mtoto una kumbukumbu we sikuwezi, hebu ondoka usijenipotezea bahati[emoji85] [emoji85] [emoji85]
We hapa sibanduki hadi vigezo vigeuke aisee!Baada ya kukosa vigezo naona juhudi zote mnaziweka kwenye kukatisha wenzenu tamaa.......Mimi nimeweka vigezo vinne tu, mbona kuna mabinti humu wanaweka gazeti la vigezo?!!! Mkuki kwa nguruwe............
Kwani mie nilikataa basi mchumba? Najaribu tu kupunguza jam.Ndio maana nilitoa kigezo cha exposure kama yako....hajui pale coco nakula mihogo na ma-bilionare wenzagu Wahindi!
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Hahaha Ukiona mtu anakata tamaa ujue vigezo hana, mwenye vigezo anawahi Pm . Sisi vigezo hatuna, nani kasema au unatubembeleza kiujanja ili tuapply? Hivyo vigezo mbona vya kawaida tena ukiweza ongezea tu, sisi tumeover qualify buana
Hebu acha fujo bwana, mchumba inatakiwa awe mnyenyekevu.Piteni hivi >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Afadhali umelikumbuka hilo, maana kwenye kutoa naweza tia huruma hadi ukanisamehe.Ah mi natenda wema niende zangu bibie... Kwenye njugulu wala huwezi nikumbuka wewe
Khaaaah! Na huyu huyu anatosha sitaki tena aisee[emoji134]Teh teh..Yani we bado hujafika leba umeanza kulalamika hivyo..Jikaze bana
Kwani sio hiyo alokuwa anamaanisha[emoji134] [emoji134] basi nikajiona nimeelewaaaa mwenyewe[emoji24]Si nasikiaga tu " naenda hospital kufanyia dressing sijui". Ngoja niondoke kabla RR hajanipa makofi
No wonder jina lako limekatwa, una bichwa gumu khaaa. Mchumba ashapatikana, kazi yako ni kuandaa tu ngoma za kisukumaRRONDO na wewe si upate sasa ili na wengine tupate? Eboooo kuzibiana fursa tu.
We hapa sibanduki hadi vigezo vigeuke aisee!
Hahhaah kweli wewe x-pozha huna, hiyo dressing ya kwenye vyakula eti. Sasa sijui chakula unakivalisha nguo, ngachoka mieKwani sio hiyo alokuwa anamaanisha[emoji134] [emoji134] basi nikajiona nimeelewaaaa mwenyewe[emoji24]
Hivi ujue viboko vitakuhusu we mtoto[emoji57] [emoji57]Siamini macho yangu. Ndio kusema sina changu? Lazma naota. Kweli sometime mashauzi siyo kabisa. Naona tuwivu x wangu amepata mfariji
Maeee! Imbombo ngafu[emoji134]Hahhaah kweli wewe x-pozha huna, hiyo dressing ya kwenye vyakula eti. Sasa sijui chakula unakivalisha nguo, ngachoka mie
Hahahaaaa! Uwiiii Mentor fanya fasta basi, ila tafadhali sana punguza vigezo angalau tu iwe mpenda hela pekee.No wonder jina lako limekatwa, una bichwa gumu khaaa. Mchumba ashapatikana, kazi yako ni kuandaa tu ngoma za kisukuma