Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Dressing me nikajua mambo ya nguo tena au kufanyaje kidonda sijui. Kumbe wa mjini mna maana yenu nyingine shaa, x-pozha yangu negative

Nyie wenye x-pozha ndo mnakula salad Hehehe nicheke mnyaki mie. hapa kula tu, diet peleka mjini aaah. Afu huyo petit sijui ndo petit man wakuache au kitu gani?


..kufanyaje kidonda!,...hahaaaaaa!
I' m so done...lol!
Umefanya nicheke mwenyewe kama nina walakini 😀😀😀
 
Mpaka atangaze kapata.

Wana JF baada ya interviews na mchujo mkali sana hatimaye nimepata mchumba! Ila kama nilivyosema awali kulikuwa na kila dalili ya ku-compromise na imebidi nifanye hivyo.

Vigezo vinne nilifikiri ni vichache sana, na kiukweli ni vichache ila vimekuwa adimu humu JF au wenye navyo washachuliwa kama King'asti . Kwahio nimempata ambae angalau amefikia vigezo kwa at least 60% kwenye kila kigezo ila niseme ukweli kigezo cha exposure ilibidi ni-standardize maanake score zilikuwa very low.

Asanteni kwa comment zenu zimesaidia sana kujenga zaidi ya kubomoa. I'm officially taken ukiniona PM kwako nakuruhusu uje kunisemea.
 
Back
Top Bottom