Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa! Sasa wewe utaniharibia nikose mchumba
Wazuri kama heaven on earth nenda ufilipino, wenye akil sana nenda Israel, na mwenye exposure kamchukue lady gagaNatafuta mchumba baadae awe mke wangu.
Awe na sifa zifuatazo;
1.Mzuri kama Heaven on Earth
2.Tabia nzuri kama Heaven Sent
3.Awe na exposure kama kui
4.Awe amesoma na awe na akili kama Karucee
Mwenye sifa hizi zote ani PM nimpe wasifu wangu.
unatafutwa na X shemu wako kwa Udi na Uvumbateh!teh!teh!!!
Hahaha sasa mbona unataka kunidhalilisha mbele za watu, huo ndo uwanja wako na x-pozha yako. Me sijawahi kufika daslama ila napasikiaga tu ubungo. Mnialike mjini jamani nipate x- pozha na mimiWewe sio wa kukosa mchumba hata!
Tufundishe tu wengine kwenda vijiwe vyako vya faranga nyingi. Wengine hatujui.
Tena kuna kimoja kiko mujini mnakaa mnakula huku mnazunguka mnaiona Dar yote. Mweh!
Heaven Sent panaitwaje tena pale? huyu atoto atakuwa hapo kama kwake.
Dressing me nikajua mambo ya nguo tena au kufanyaje kidonda sijui. Kumbe wa mjini mna maana yenu nyingine shaa, x-pozha yangu negativeatoto kwa hivi vigezo vya RRondo itabidi kuachana na mambo ya mihogo, magimbi na chai sukari debe. Huu ni mwendo wa kuwa petit.
Salad kwa sana halafu bila dressing, coz dressing nyingi zina mafuta. So yea!...
Asije akatuwekea mambo ya x-pozha na yeye. Afu mambo ya akili, me vyeti vyangu vya mwandishi bora wa Insha darasa la 3E na cha umitashumta vipo mbali, ntashindwa kuapplyMbona huweki sasa? Nimesubiri hadi nimechoka.
Hahaaaaa! Chezea RRONDO wewe, huyo outing zake ni unapelekwa coco kula mihogo tu.
Baada ya kukosa vigezo naona juhudi zote mnaziweka kwenye kukatisha wenzenu tamaa.......Mimi nimeweka vigezo vinne tu, mbona kuna mabinti humu wanaweka gazeti la vigezo?!!! Mkuki kwa nguruwe............Dressing me nikajua mambo ya nguo tena au kufanyaje kidonda sijui. Kumbe wa mjini mna maana yenu nyingine shaa, x-pozha yangu negative
Nyie wenye x-pozha ndo mnakula salad Hehehe nicheke mnyaki mie. hapa kula tu, diet peleka mjini aaah. Afu huyo petit sijui ndo petit man wakuache au kitu gani?
Aaah huyo kashasema mwanamme sijui awe na nini na nini sasa hivyo mimi sina.
Aah siwezi kutangaza hadharani, natangaza kwa candidates tu.Sasa ungetangaza ulivyonavyo ndugu yangu watakaoridhika wapangane foleni PM ... Halafu kuna kamsemo "mwanaume usipojua kunyenyekea na kubembeleza mke utamsikia kwa bony mwaitege tu" .... komaa nae tu huyo
Hahaha Ukiona mtu anakata tamaa ujue vigezo hana, mwenye vigezo anawahi Pm . Sisi vigezo hatuna, nani kasema au unatubembeleza kiujanja ili tuapply? Hivyo vigezo mbona vya kawaida tena ukiweza ongezea tu, sisi tumeover qualify buanaBaada ya kukosa vigezo naona juhudi zote mnaziweka kwenye kukatisha wenzenu tamaa.......Mimi nimeweka vigezo vinne tu, mbona kuna mabinti humu wanaweka gazeti la vigezo?!!! Mkuki kwa nguruwe............
Piteni hivi >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>Hahaha Ukiona mtu anakata tamaa ujue vigezo hana, mwenye vigezo anawahi Pm . Sisi vigezo hatuna, nani kasema au unatubembeleza kiujanja ili tuapply? Hivyo vigezo mbona vya kawaida tena ukiweza ongezea tu, sisi tumeover qualify buana