Natafuta mchumba

Khaaaa itakuwa paw kaona comments za king'asti ndo akaona kawivu. Sisi mbona tumekuwa tu serious jamani. Modes sio vizuri jamani
 
Hapana.
Nilitaka kujua jinsia yako na umri wako. Nahisi huu Uzi haujakaa vizuri
Ahaa ukiona kitabu hukielewi hujaandikiwa wewe.....ukiangalia vizuri utagundua wewe ndio haujakaa vizuri kwasababu wengi tu wameuelewa.
 
Reactions: kui


Umenchekesha wewe!, eti GDA...lol!
Si mara mia hizo vigezo vingine.

Tatizo ni kwamba wadada wengi wa mujini wenye 'exposure' wanahusishwa na maisha ya drama mwanzo mwisho!
Mpaka unashindwa kuelewa coz exposure inatakuwa imkomboe mtu especially kifikra, lakini joto city wadada wengi wa hivo ni shiider!
 
Eeh umeona eeh, sijui kuna uhusiano gani kati yao na drama drama. Ila wengine wana exposure +brain, hadi raha
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…