Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Hizo sifa yan awe mwarabu au mhindi them mcha mungu mkristo. Yan upate mwarabu mkristo daa au mhindi mkristo aache abudu ng'ombe.
 
Nasubiri majaliwa, sitokata tamaa, mwenzenu nahangaika kweli namtafuta mwenza, nimechoshwa na ukapera

Kama unatafuta mwenza mbona unaweka vigezo visivyotekelezeka? Huwezi kupata hizo "race".
 
Haya sasa, wabantu soko lenu kwishney.
Sahv tunakimbilia kwa wahindi na waarabu.
Kuna wahindi fulani nimewaacha jukwaa la wakubwa, wasubirie kidogo.

HAPATI KITUUU HUYOOOO... KAINGIA CHAKAAAA.. Teh teh teh teh teh teh teh teh hahaahaaaaaaaa aaaaa..... uuuuuuwiiiiiiii. POOOLEEEEE
 
Back
Top Bottom