Natafuta mchumba

Umri umeenda sana huo ningekuja tatzo vigezo vimenizidia mwaka mmoja
 
duh mbona unataka mwenye umri mkubwa hivyo ili umpelekeshe amaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
he ? wewe ni bikira au ? (nimeongezea tu)
 
Ukipata nishilikishe kwenye uchaguzi wa rangi ya shughuli....a. K . a chereko
 
Mimi bado kidogo kufikia hicho kigezo cha umri lkn hiyo hainizuii kuja kwako
 
Unajipendelea tupo wengi over 40
Hongera yako. Umeoa? Tuanzie hapo kwanza?
Km umefikisha 40 nz hauna mke ww utakuwa kilema na ukizaa watoto watakuwa wajukuu. Mtoto wako akifikisha 20 ww upo 60. Babu kbsa.
Pole sana mkuu
 
Wenye miaka 38-45 Haya ni Ma Buzi wanaita......hapo utapata mchumba w mtu mume wa mtu unajua sisi wanaume tupo wachache hivyo uwezi kupata wa kwako pekeako, yaani ukimpata wa umri huo ujue wewe utakuwa wa kumi kuendelea, pia Usiwe na Wivu hata ukitakiwa kuwa nyumba ndogo we kubali tuu
 
Khaaaa Mme JF??? Jmn mbn unatafta tatzo dadangu?? Iv umu kuna waume kweli??? Hahahaaaaa any way kila rakheli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…