Mbona hujitambilishi JINSIA yako...unasema tu mimi kijana ...yupi WA KIKE AU WA KIUME????Habari tena wana jf,
Narudi kwa Mara nyingine Mimi ni kijana wa miaka 27 nimeajiriwa serikalini mweups,mrefu, mkristo
Naitaji mchumba awe mrefu portable sio mnene sana mcha Mungu ,mkristo
Aliye na shughuli ya kumuingizia kipato
Na aliye tayari kucheki "ngwengwe"
Sent using Jamii Forums mobile app
yeye ni mwajiriwa wa serikaliWe ni mwanaume au mwanamke?
Jamii Forums mobile app
hakika ana gundu huyu mtuUlipo leta bandiko la kwanza hakuna waliojitokeza?
-Ndumilakuwili-
bila shaka Mbuzi/porn/pilau