Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

luginyo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
1,385
Reaction score
637
Habari tena wana jf,
Narudi kwa Mara nyingine Mimi ni kijana wa miaka 27 nimeajiriwa serikalini mweups,mrefu, mkristo

Naitaji mchumba awe mrefu portable sio mnene sana mcha Mungu ,mkristo
Aliye na shughuli ya kumuingizia kipato
Na aliye tayari kucheki "ngwengwe"



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari tena wana jf,
Narudi kwa Mara nyingine Mimi ni kijana wa miaka 27 nimeajiriwa serikalini mweups,mrefu, mkristo

Naitaji mchumba awe mrefu portable sio mnene sana mcha Mungu ,mkristo
Aliye na shughuli ya kumuingizia kipato
Na aliye tayari kucheki "ngwengwe"



Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujitambilishi JINSIA yako...unasema tu mimi kijana ...yupi WA KIKE AU WA KIUME????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu!

Ila mwanaume hutakiwi kutumia hii njia kumtafuta mtu sahihi, jaribu kutumia hizi hapa;

1.mfate PM mdada/wadada unaehisi atafaa kuwa mtu muhimu kwako(mchumba)
2.aunt/anko
3.rafiki zako
4.godfather/mtu wako wa karibu wa kiroho
5.wewe mwenyewe katika matembezi yako ya hapa na pale(shule, kazini na mtaani pia au sehemu za burudani)
........

Ni imani yangu ukiwa serious na kumshirikisha MUNGU akupe jicho la tatu uweze kuona ili usije ukafakamia.


brain is the beautiful part of the body.
 
Back
Top Bottom