Natafuta Mchumba

Natafuta Mchumba

Chirozo

Senior Member
Joined
Dec 20, 2017
Posts
145
Reaction score
227
Habari zenu ndugu wa jamii forum.

Matumaini yangu ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kujenga taifa ingawa Vyuma Vimekaza.
Twende moja kwa moja kwenye Maada husika.

Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke wangu.
VIGEZO VYAKE.
1.Awe mcha Mungu na hofu ya uwepo wa Allah (S.W)
2.Awe na umri kuanzia 18 mpaka 28.
3. Awe Muslim kwa vitendo, Sio kwa jina tu.
4.Awe na Elimu angalau Secondary level tu.
5. Awe mzuri wa sura na tabia(mwanamke ni pambo la nyumbani kwahiyo uzuri ni moja ya kigezo ninvyozingati mno)
6.Awe mcheshi Sio kila wakati ananunanuna tu.
7.Awe Mrefu wastani, Awe Natural , sitaki mwanamke Artificial.

VIGEZO VYANGU.
1.Nina Elimu ya College tu.
2.Nimeajiriwa private Sector
3.Umri wangu miaka 30
4.Nilishawai kuoa na nikabaatika kupata mtoto mmoja wa kike.
Ila tuliachana miaka 3 iliyopita.
4.Ni mrefu wastani, Sio mweupe ila nipo maji ya kunde.
6.Nina hofu ya mwenyezi mungu, kwahiyo nafanya ibada kwa kadri niwezavyo.

Kwa yoyote alikuwepo Serious kwenye hili anitafute PM kwa maswali zaidi au kwa chochote kuhusu mada husika hapo juu.
Karibu wote (Mabinti tu)
Ahsanteni sana.!
 
Kumbukeni kuna tahadhari imetolewa leo kuhusiana na wachumba wa mitandaoni. Nasikia kuna mmoja amejichinja huko Dom, yupo hoi.. Btw, kila la kheri..
 
Sasa si ungeweka picha yako wa kuone asee, hivi na mtu anae nunanua anajijua hivi ee
 
Kumbukeni kuna tahadhari imetolewa leo kuhusiana na wachumba wa mitandaoni. Nasikia kuna mmoja amejichinja huko Dom, yupo hoi.. Btw, kila la kheri..
Siku zote kupeana taadhari ni muhimu sana.
Ila mm Sio miongoni mwao.
 
hahahaha watakuja wengi tuu... nadhani P.M kutakua na mafuriko... wewe ni kuchambua tuu kama nyanya, wakikuzidi usisahau kunigawia mmoja mkuu.....😱😱😱
 
hahahaha... kina dada changamkieni fursa hiii.. sio kila siku mnalia-lia kutafuta vudume wa kuwakojoza, nafasi ndio hii sasa haya twende kazi...😵😵😵
 
Back
Top Bottom