Natafuta mchumba

mzee wa ndondo

New Member
Joined
Feb 13, 2018
Posts
4
Reaction score
5
Habari wanajamvi? Naandika Uzi huu Nikiwa na dhamira ya Kumpata mwanamke ambaye atakua mke wangu.
Vigezo
-awe Tanzania
-mkristo
-umri kuanzia miaka 25
-awe mtu mwenye uhitaji kweli na mume siyo mtu wa masihara. Kwa maelezo zaidi njoo pm. Naomba kuwasilisha.
 
Umri kuanzia miaka 25 mpaka mingapi?
 
Yaani ina maana vyuma vimekaza hadi kwenye hii sekta? Watu wa natafuta wenza utadhani wanafuatilia kazi BOT?!
 
Ebu potia thread za mda ulopita walikuweko wadada kibao wakitafuta wenza VP haujawasiliana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…