Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

onedayyes

Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
13
Reaction score
16
Hello!

Naitwa Mary ni binti wa miaka 28 na ni mkristo, nimemaliza chuo mwaka jana kozi ya laboratory science and technology lakini bado sijapata ajira.

Nilidumu kwenye mahusiano na mwanaume zaidi ya miaka 6 lakini tuliachana mwaka jana kwasababu binafsi kidogo.

Natafuta mchumba mwenye umri wa miaka 29 na kuendelea
Awe na elimu yake nzuri
Dini yoyote ile
Awe mrefu
Kama ana mtoto alishapata tutalea
Awe mcha Mungu

Kama upo tayari au unamjua mtu ambaye yupo tayar naomba tuwasiliane
@sha90ha94@gmail.com

Asanteni
 
Elim nzuri ya aje.elim ya ufundi,dini,ushonaj,dk,nurse ama IPI maana uku wapo wa elim hiyo
 
dah miak kikwanzo ila we ni abilities mda wowot unajila n kujenga famir
 
Back
Top Bottom