Natafuta mchumba

Nyamalapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
211
Reaction score
469
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:-
1.Awe na umri kuanzia miaka 25 na kuendelea mana sipendi kuwa na msichana mwenye mambo ya utoto utoto.

2.Rangi yeyote iwe nyeusi au nyeupe ila sio weupe wa kujichubua.

3.Akiwa na chura itapendeza zaidi

4.Elimu kuanzia form four na kuendelea

5.Akiwa mkristo itakua poa zaidi

6.Kama anajishughulisha na shughuli halali ya kumuingizia kipato itakua poa zaidi ila hata kama hana ajira hainizuii mimi kuwa na yeye.

7.Asiwe mwembamba sana, awe na mwili wa wastani na urefu wa kawaida.

8.Awe mkoa wa Dar es salaam

SIFA ZANGU:-
1.Mweupe wa kawaida sio kama papai bichi

2.Ni mrefu na nina mwili wa wastani (urefu wa kawaida sio kama wale wacheza basketball)

3.Dini yangu ni mkristo

4.Naishi Dar es salaam

Kama upo serious njoo inbox tuyajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…