Half Genious
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 491
- 784
Huwa napata tabu sana na mwanaume anaetangaza kutafuta mchumba..'!..wanakuwaga na matatizo gani? Domo zege anataka wa kujileta tu au shida nini? Mi ninavyojua mwanume akiwa single ni maamuzi ila mwanamke mara nyingi huwa wamekosa wenza ndio wao huwa wanatafuta...ila mwanaime kutangaza kutafuta mchumba ina ukakakasi sana.!..sipati jibu mnamapungufu gani...nenda hata badoo wapo wengi