Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Sina vigezo mpendwa [emoji26][emoji26]
sio kweli ..achana na Hawa vijana wenye miaka 30 kushuka chini ..wengi macho yao hayana weledi wakutazama maisha kwa jicho la 3 ..wanadhani vigezo vya mke niawe tu na chuchu saa6"" hao ndio wanaokufnya ujione kuwa huna vigezo. ilhali bado unavyo
 
Haya maneno yanatia moyo jamn kwa sis wahenga
 
sio kweli ..achana na Hawa vijana wenye miaka 30 kushuka chini ..wengi macho yao hayana weledi wakutazama maisha kwa jicho la 3 ..wanadhani vigezo vya mke niawe tu na chuchu saa6"" hao ndio wanaokufnya ujione kuwa huna vigezo. ilhali bado unavyo
Asanteh kwa kunipa moyo
 
hahaa inna wewe uhenga umeutoa wapi ndugu yangu !!?
Daah hujui tu naomba uendelee kunifariji tu ndugu yangu huku jf wakianzaga kutusema mara sijui upo timezone mara sijuii nn
Moyo unapondekaa haswaa
 
Back
Top Bottom