Pia wahenga ni wepesi kubadilisha upepo hasa anapomuona mwenza wake bado anautoto,, na hapo ndo vijana wengi wanapofeli weng wao wanakuwa na mahusiano na wahenga ila hawawajui wenza wao wako na focus gani,, wanahisi wapo pale kwa ajl ya kutmiza haja zake tu ktu ambacho si kweli,, mawazo ya mhenga huwa ni mara mbili ya mawazo ya kijana