- Thread starter
- #61
Yuko wapi mkuu??Mke&mme Bora
Hayupo mtandaoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko wapi mkuu??Mke&mme Bora
Hayupo mtandaoni
Kijana mwenye miaka 36+unashindwa kutambua&kujuaYuko wapi mkuu??
SawaKijana mwenye miaka 36+unashindwa kutambua&kujua
Mke Bora anapatikana wap?
You can't be serious broo
Labda ungekuwa specific kipi kimekufanya utafute hukuSawa
Unachokijuwa mm nilishakitambua toka kitambo kaka....na kwa taarifa yako huku ndo kwa kupata mke kukiko huko kutafuta mitaan kama unavyofanya wewe....huku ndo kwenye ndoa kaka...ni mtu mwenyewe anajitoa kuwa na kwake kwa mashat tajwa...lakn pia kila mtu na utaratbu wake kaka.....katba ya mwanadamu iko akilini mwake daima...hvyo basi ni vyema ukanitia nguvu kuliko kuanza kunilaumu na kunikosoa....pia ni vyema zaid kama ungenifata pm ukanishaur ningekujuwa wa maana san kuliko kuni....kwenye uwanja huu.....aaaah acha zako banaLabda ungekuwa specific kipi kimekufanya utafute huku
Ina maana kabisa kwenye mazingira yako umekosa???
Listen ndoa siyo kitu simple
Ndoa n kifungo cha Nafsi
Jumamosi njema
Kila la kheriUnachokijuwa mm nilishakitambua toka kitambo kaka....na kwa taarifa yako huku ndo kwa kupata mke kukiko huko kutafuta mitaan kama unavyofanya wewe....huku ndo kwenye ndoa kaka...ni mtu mwenyewe anajitoa kuwa na kwake kwa mashat tajwa...lakn pia kila mtu na utaratbu wake kaka.....katba ya mwanadamu iko akilini mwake daima...hvyo basi ni vyema ukanitia nguvu kuliko kuanza kunilaumu na kunikosoa....pia ni vyema zaid kama ungenifata pm ukanishaur ningekujuwa wa maana san kuliko kuni....kwenye uwanja huu.....aaaah acha zako bana
Kujichubua siyo rangi kakaRangi yoyote unapenda halafu umekataa anayejichubua sasa si umeshafanya ubaguzi?
AsanteKila la kheri
Haujaona mtu mweusi akijichubua anakuwa mwekundu, vp nayo siyo rangi?Kujichubua siyo rangi kaka
Yes sura mbayaSura mbaya kiasi