Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Habarini za kazi wana JamiiForums,


Kwa sasa hivi ni tofauti kabisa na zamani, kulikuwa na utaratibu wa kuoana na mwanamke ambaye unafahamu familia yao kuanzia tabia hadi.

Ni mtizamo mzuri sana kwa enzi zile lakini sasa hivi imekuwa tofauti sana, wadada walio wengi hawapendi kuolewa kwa kile wanachokidai kukosa uhuru wa kufanya mambo yao.
Hakuna mwanamke timamu asiyependa kuolewa, ila sasa ataolewa na nani wakati waoaji wenyewe hakuna!!watu wanakula tu wanasepa zao!!
 
Wabawake mko wapi nyie au mashart magumu??? Basi nataka yeyote bila kujali elimu yake.....awe tayari kupima tuuu
 
Wabawake mko wapi nyie au mashart magumu??? Basi nataka yeyote bila kujali elimu yake.....awe tayari kupima tuuu
kwann usiwafate ww!!!!
inawezekana wapo wanaotaka ila wanashindwa kuanza kuja huko PM,
 
Bado nafasi iko wazi wadada usiogope masharti....kikubwa ni kupima tuuuuuu
 
Back
Top Bottom