Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Hakuna mwanamke timamu asiyependa kuolewa, ila sasa ataolewa na nani wakati waoaji wenyewe hakuna!!watu wanakula tu wanasepa zao!!Habarini za kazi wana JamiiForums,
Kwa sasa hivi ni tofauti kabisa na zamani, kulikuwa na utaratibu wa kuoana na mwanamke ambaye unafahamu familia yao kuanzia tabia hadi.
Ni mtizamo mzuri sana kwa enzi zile lakini sasa hivi imekuwa tofauti sana, wadada walio wengi hawapendi kuolewa kwa kile wanachokidai kukosa uhuru wa kufanya mambo yao.