NATAFUTA MCHUMBA

NATAFUTA MCHUMBA

lamalu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
612
Reaction score
775
Mi muislam,umri now Ni 40,natafuta MCHUMBA alie TAYARI aje pm! Mabingwa wa kukosoa hasa wanaume mnaweza kupita tu kimya kimya maana Kuna wakatisha tamaa humu kujifanya mnajua kiiiila kitu,nahitaji mke,mwanamke sio shoga,mwanaume uki comment hapa najua sio ridhik! Karibu wadada mlio na uhitaji wa kweli
 
Miaka 40 mkuu iyo mechi lazima itakuwa inaanza na 3-0
Shida yenu ndio hiyo ujuaji! Nilitoa angalizo lakini nahitaji mke mwanamke sio shoga! Kama hiyo 3-0 unamaanisha tayari Nina mtoto au nishawahi kuoa upo wrong Sana na ndio sababu nilisema unaweza kufunga tu mdomo na kupita kimya,sijawah kuoa Wala Sina mtoto,unataka kujua why? Maisha yangu sio ya social media,kafanye upasuaji uwe demu nikuoe nitakupa story
 
Mkuu, watu wa namna hii ni kuwapotezea tu. Utapoteza nguvu na muda wako bure.
Kimya ni jibu la mjinga
 
Back
Top Bottom