Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Huwa napenda mwanamke muwazi sana, type ya kina gigy mony, gigy anapigwa deepstic atakuja kukwambia nimekwichkwich
 
Hahaha mjuvi wa mapishi na kufua, kila la kheri
 
Kijiji gani mkuu?
Mkuranga dsm usukumani, mtwara, kigoma sehemu hizo bado wapo wengi wazima na jamaa zangu wengi wamepata watoto bado wazima na wanaheshma.humu mitandaoni wengi ujanja mwingi mbele kiza. Ndo mana wanatumika mpaka kina chakaa afu lastly wanataka wa kuwaoa
 
Kwani ukiwa humu maana yake hujiheshimu?
 
Eti eeh!
Mkuranga dsm usukumani, mtwara, kigoma sehemu hizo bado wapo wengi wazima na jamaa zangu wengi wamepata watoto bado wazima na wanaheshma.humu mitandaoni wengi ujanja mwingi mbele kiza. Ndo mana wanatumika mpaka kina chakaa afu lastly wanataka wa kuwaoa
 
Natafuta mchumba lakini awe na vigezo vifuatavyo;
1. Awe na umri kuanzia miaka 20- 25 tu.
2. Awe anajua kusoma vizuri na kuandika.
3. Awe anajua kupika vizuri na kufua vizuri.
4. Awe msafi kuanzia yeye mwenyewe na mazingira yote ya nyumbani.
5. Awe mkarimu, mwaminifu na asiwe na tabia za uchoyo maana kwangu mimi wageni hawakatiki hasa siku za mwisho wa wiki.
6. Asiwe na mtoto.
Mengine yote nitamvumilia ila 1- 6 hivi vigezo vizingatiwe.
Kwa mawasiliano zaidi naomba tuwasiliane kwenye e-mail yangu ya
mjukuuwakaswaga@gmail.com
Mwanaume nipoooo
 
Back
Top Bottom