Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Njoo nikipe kazi ila sitaki mahusiano
Habari zenu Wana JF.

Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ila bado sijafanikiwa kupata ajira.

Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume tumeshindwa kufanya kazi, badala yake tunatumia ID fake na avatar za matamanio ili kujipatia pesa za dhurumati kwa kisingizio cha kurushiwa nauri..kwa kweli serikali imembunu mbunu[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada kashindwa tu kusema kuwa kachoka maisha ya kukaa Kwa ndugu,sasa anatafuta njia yakujitegemea kupitia papuchi yake.Akipata kazi ndio atachagua sasa aishi nanani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom