Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Aisee, ila kuna kitu cha tofauti nimeona kutoka kwako, matangazo ya namna hii yapo mengi yours is very different, your not biased and picky, wish you all the best...Wish you get a good Man..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
How 2019 end.[emoji276]
Yangu Macho Ila Huko Ulipoenda Yangu Macho.
And you're the reason why we end like that, I still just can't believe my eyes ooh, but why babe kichwa why, what are you missing from meee?[emoji16][emoji379]

Sent using Jamii Forums mobile app
Atanitunza bana si kama wewee

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mama sina neno kila la kheri.
Even if I explain u will never understand mama.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]kumbe hadi kizungu unaongea?
Hii foleni hadi wapi?
Tuko wangapi kwani?naomba tujuane...[emoji124][emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu Wana JF.

Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ila bado sijafanikiwa kupata ajira.

Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
 
Unatafuta kaz au Mume 🤔🤔
 
Dina96 tatizo sio kupata mtu sahihi tatizo ni je unajua maana ya kuwa mke wa mtu? Je umejiandaa kuwa mke wa mtu? Maana usikimbilie kuolewa kisa hujapata ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu Wana JF.

Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ila bado sijafanikiwa kupata ajira.

Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
Sawa.
 
Tumia elimu ndogo uliyonayo kukabiliana na maisha sio kutafuta unafuu wa maisha kwa kutumika mwili wako.
Habari zenu Wana JF.

Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ila bado sijafanikiwa kupata ajira.

Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka ushampata [emoji2321]

Mi naomba tuwe marafiki tu nichek basi
Habari zenu Wana JF.

Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ila bado sijafanikiwa kupata ajira.

Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
 
Soon utapata Mungu ni mwaminifu

sent from toyota Allex
 
Back
Top Bottom