Akili 09 Nguvu 01
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 695
- 1,377
Kutokua mkoa nilioutaja sio ishu kwa maana sisi ni binadamu sio milima kusema tutashindwa kutoka sehemu moja kwenda nyingineTatizo sipo mikoa ulotajaaa mweee
Hivi akiwa nalo bahati mbaya akaugua akakonda hadi likaisha utampa talaka???Ahidi kma utakuwa huombi hela... na pia tako lipo??
Habari zenu.
Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.
Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.
Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
Mm nimejitokeza hapa kama bado aujapata mmeHabari zenu.
Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.
Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.
Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
ayo macho ulivyoyatoa kama bundi.afu iyo ndo picha yako bora mkuu umepotea njia nenda FbMambo naitwa jeremiah ningependa tuanzishe mausiano mimi nawe nimekupenda nichek-0716175878View attachment 1697447
Picha imetoka fb hiyo, imeandikwa mwanzoni FB_ Image [emoji1][emoji1]ayo machovulivyoyatoa kama bundi.afu iyo ndo picha yako bora mkuu umepotea njia nenda Fb