Natafuta Mchumba

Natafuta Mchumba

Uko tayari kuolewa na mwanajeshi JW?Ni PM kama uko serious
 
Habari zenu.

Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.

Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.

Nashauri uweke picha yako kwanza na namba ya simu
 
Ila bado sijakamilisha nikikamilisha ntakucheki, ila kama uko vzr tukamilishe wote kuliko kunirudisha nyuma krb
IMG_20201021_103553.jpg
 
Habari zenu.

Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.

Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
Mm nimejitokeza hapa kama bado aujapata mme
 
key point yako huna hela ya kujikimu,kuna kazi ya usafi mshahara laki na hamsini ,kuanzia asubuhi mpaka saa10 location dar es salaam posta
 
Back
Top Bottom