Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

ramzad

New Member
Joined
Apr 26, 2022
Posts
2
Reaction score
1
Hbr Jf,

Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo:


*Awe muislamu
  • Asiwe mlevi
  • Umri usizidi miaka 23 mpaka 26
  • Elimu yeyote aliyonayo
  • Asiwe na mtoto

Sifa zangu:

*Muislamu
  • Nina umri wa miaka 30
  • Situmii kilevi chochote
  • Nimejiajiri, kipato cha kawaida kutosha kulea familia
  • Mrefu wa wastani
Kwa mawasiliano njoo Pm..
 
Mchagua jembe sio mkulima.asiwe na mtoto siku ukijua ana mtoto na ndoa mshafunga inakuaje?
 
Back
Top Bottom