Hbr Jf,
Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo:
*Awe muislamu
Sifa zangu:
*Muislamu
Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo:
*Awe muislamu
- Asiwe mlevi
- Umri usizidi miaka 23 mpaka 26
- Elimu yeyote aliyonayo
- Asiwe na mtoto
Sifa zangu:
*Muislamu
- Nina umri wa miaka 30
- Situmii kilevi chochote
- Nimejiajiri, kipato cha kawaida kutosha kulea familia
- Mrefu wa wastani