Natafuta mchumba

Hapana sipendi warefu Sana napenda wafupi wawe na mwili kiasi afu weusi au maji y kunde awe ananyoa upara sio anaefuga nywele au kucha na mandevu
Kwahiyo sisi warefu tufanyeje?
 
Hapana sipendi warefu Sana napenda wafupi wawe na mwili kiasi afu weusi au maji y kunde awe ananyoa upara sio anaefuga nywele au kucha na mandevu
Kunyoa upara na body umenigusa Mimi,tatizo tayari nna mke, labda ukubari uke wenza , utakaa kwenye mji wako pekee na huyo mwanao
 
hongera sana kila la kheri, mimi ningeweza kukutaka ila sitaki ndoa labda mpenzi tu na maisha yaendelee, na sio kiuzushi uzushi...ila baridi tu acha wafaidi wajuba wengine
 
Acha ujinga wako
Kwa umri huo hujaoa??
Unavizia losse balls
Komaa kwenye siasa tuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Chifu si kila Me aendaye PM kutafuta Ke ni mvulana la hasha! tuwaombee tu hao ili waokolewe kwa rehema na neema za Mungu, maana usikute wengine si akili zao bali ni watumwa wa mapepo mahaba [emoji38]
 
Hahaha hapa kazi ipo
Single mother umeshatumika weeeeeeeeee afu unaweka masharti!?
 
Baba mtoto wako mtafute muishi Pamoja.
Mapenzi hayalazimishwi na pia nilishajifunza kumove on na kuachilia mahali ambapo panamanyanyaso na mateso kwangu na kwa mtoto wangu. Labda yeye hakuwa sahihi kwangu lakin Sina maana kwamba ATA APA naweza kukosa mtu sahihi ambae kamwe hatoninyanyasa Mimi na mtoto wangu .
ASANTE
 
Baba mtoto yuko wapi?
Sifahamu kwasasa anaishi wapi Sina namba zake Sina mawasiliano nae na sifikilii kumtafuta kamwe
Kwasababu yeye bado ajaona umuhimu wa kunitafuta Mimi au mtoto toka alipotutelekeza na istoshe nilishafanya bidii y kumtafuta kwa siku kwa sms na kwa kupitia ndugu nk nk nk bila mafanikio
Binafsi nimechoka kuwa MPWEKE na mtoto wangu anamiak 3 nataman Kama mtoto wangu atapata baba ili nae aite baba maana kila siku uniambia mpigie simu baba naumia sio kwamba nammiss baba mtoto Ila namna mtoto wangu mdogo anavoniumiza hajui Kama baba yake alishamtelekeza toka akiwa na miez9 hajui kuwa baba yake si wa nguo Wala viatu Wala chakula ,hajui kuwa baba yake amemsusa nimeona nimtafutie mwanangu baba mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…