Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Sifahamu kwasasa anaishi wapi Sina namba zake Sina mawasiliano nae na sifikilii kumtafuta kamwe
Kwasababu yeye bado ajaona umuhimu wa kunitafuta Mimi au mtoto toka alipotutelekeza na istoshe nilishafanya bidii y kumtafuta kwa siku kwa sms na kwa kupitia ndugu nk nk nk bila mafanikio
Binafsi nimechoka kuwa MPWEKE na mtoto wangu anamiak 3 nataman Kama mtoto wangu atapata baba ili nae aite baba maana kila siku uniambia mpigie simu baba naumia sio kwamba nammiss baba mtoto Ila namna mtoto wangu mdogo anavoniumiza hajui Kama baba yake alishamtelekeza toka akiwa na miez9 hajui kuwa baba yake si wa nguo Wala viatu Wala chakula ,hajui kuwa baba yake amemsusa nimeona nimtafutie mwanangu baba mwema
Pole sana na kila la kheri.
 
Ningekukubalia lakini nihakikishie kwanza unanipenda kweli au unataka tu kunichezea na mimi uniache?
Ni mpaka tuonane ana kwa ana ndipo ule upendo wa ndani ya chemba za moyo utapojidhihilisha maana APA sjakuona nitakuw mnafki Kama nitakwambia MDA huu nakupenda saana labda niangalie pic yako
Ila sipo kwajil y kumchezea kumuacha mtu ila kwajil y mapenzi, tuzae tupendane tulee watoto uniite mke nikuite mume wangu unizike nikuzike na tuvumiliane ktk milima mabonde na tambarare zote
ASANTE
 
Asa ameweka namba haipatikan....she is not serious unaijua ss ma introvert tunapata shda sana
haiwezi kupatikana maana itajam Ila ashawapata kadhaa atabadilisha number then ataenda nao sàwa huwajui wanawake wewe!
 
Sifahamu kwasasa anaishi wapi Sina namba zake Sina mawasiliano nae na sifikilii kumtafuta kamwe
Kwasababu yeye bado ajaona umuhimu wa kunitafuta Mimi au mtoto toka alipotutelekeza na istoshe nilishafanya bidii y kumtafuta kwa siku kwa sms na kwa kupitia ndugu nk nk nk bila mafanikio
Binafsi nimechoka kuwa MPWEKE na mtoto wangu anamiak 3 nataman Kama mtoto wangu atapata baba ili nae aite baba maana kila siku uniambia mpigie simu baba naumia sio kwamba nammiss baba mtoto Ila namna mtoto wangu mdogo anavoniumiza hajui Kama baba yake alishamtelekeza toka akiwa na miez9 hajui kuwa baba yake si wa nguo Wala viatu Wala chakula ,hajui kuwa baba yake amemsusa nimeona nimtafutie mwanangu baba mwema
Pole sana...
 
Mitambo ipo tested kabisa. ..dada anahitaji usimamizi mwenza wakijana. ..safi sn dada. ..je ikitokea unaempata anapenda atakaozaa na ww nasio huyo aliemkuta. ..jiandae kwa hili pia
 
Hakuna watu wanaongoza kuchukiwa tanzania hii km watu wa kanda ya ziwa hususan wahaya na wasukuma na hakuna sabab ya msingi ila wivu tuu
Kupanda kwetu ndege mara kwa mara kunawachoma watu.

Bibie aolewe na muhaya aende Quatar
 
Sifahamu kwasasa anaishi wapi Sina namba zake Sina mawasiliano nae na sifikilii kumtafuta kamwe
Kwasababu yeye bado ajaona umuhimu wa kunitafuta Mimi au mtoto toka alipotutelekeza na istoshe nilishafanya bidii y kumtafuta kwa siku kwa sms na kwa kupitia ndugu nk nk nk bila mafanikio
Binafsi nimechoka kuwa MPWEKE na mtoto wangu anamiak 3 nataman Kama mtoto wangu atapata baba ili nae aite baba maana kila siku uniambia mpigie simu baba naumia sio kwamba nammiss baba mtoto Ila namna mtoto wangu mdogo anavoniumiza hajui Kama baba yake alishamtelekeza toka akiwa na miez9 hajui kuwa baba yake si wa nguo Wala viatu Wala chakula ,hajui kuwa baba yake amemsusa nimeona nimtafutie mwanangu baba mwema
Bibie what if baba wa mtoto akijitokeza wewe ukiwa na mtu mwingine na ambae mtoto anamtambua kama baba??

Huoni kuleta uhasama baina ya mpenzi mpya na baba wa mtoto?? Na pia contadiction kwa mtoto kujua baba halisi ni yupi??
 
Mi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala Mkurya . Awe anajishughulisha...!!

ASANTE
Asiwe muhaya au mkurya 🤣🤣🤣🤣🤣🙆
 
Bibie what if baba wa mtoto akijitokeza wewe ukiwa na mtu mwingine na ambae mtoto anamtambua kama baba??

Huoni kuleta uhasama baina ya mpenzi mpya na baba wa mtoto?? Na pia contadiction kwa mtoto kujua baba halisi ni yupi??
Ajitokeze baada y mtoto kukua na kuhangaik nae ? Kama ataniendesha kichwa labda nimerogwa kiufupi anisumbui akili ni Mimi ndie nimezaa kwa uchungu na kumlea pekeyangu kwaiyo awez nisumbua kwa lolote
 
Back
Top Bottom