Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Warumi 8 :37
Lakini katika mambo haya yote tunashinda ,na zaidi ya kushinda ,kwa yeye aliyetupenda ,±³8 kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba,Wala mauti ,Wala uzima,Wala malaika,Wala wenye mamlaka ,Wala waliopo,Wala yatakayokuwapo,Wala wenye uwezo,³9 Wala yaliyo juu,Wala yalio Chini ,wala kiumbe kinginecho chote HAKITA WEZA KUTUTENGA NA UPENDO WA MUNGU ULIO KATKA KRISTO YESU BWANA WETU
 
Ajitokeze baada y mtoto kukua na kuhangaik nae ? Kama ataniendesha kichwa labda nimerogwa kiufupi anisumbui akili ni Mimi ndie nimezaa kwa uchungu na kumlea pekeyangu kwaiyo awez nisumbua kwa lolote
Sheria haziko hivo lakini ana haki hata kama hajalea labda kama akija mtoto akiwa tayari mtu mzima so atamface mtoto mwenyewe. Ila vhini ya 15yrs mtasumbuana tu.

Nakushauri upange vizuri mipango yako, msijeleteana zogo mbeleni.
Kila la kheri.
 
Ajitokeze baada y mtoto kukua na kuhangaik nae ? Kama ataniendesha kichwa labda nimerogwa kiufupi anisumbui akili ni Mimi ndie nimezaa kwa uchungu na kumlea pekeyangu kwaiyo awez nisumbua kwa lolote
vip kama utajua Yuko sehemu fulani na yeye akajua ulipo lakini akaamua kutokuja kukuona lakini mtoto akahitaji kumuona baba yake je utamzuia kwasababu ya chuki zenu? kama jibu ni NDIO huoni kwamba utakuwa hujamtendea haki mtoto?
 
vip kama utajua Yuko sehemu fulani na yeye akajua ulipo lakini akaamua kutokuja kukuona lakini mtoto akahitaji kumuona baba yake je utamzuia kwasababu ya chuki zenu? kama jibu ni NDIO huoni kwamba utakuwa hujamtendea haki mtoto?
MUNGU TU AJUAE KESHO YETU
 
Hapana sipendi warefu Sana napenda wafupi wawe na mwili kiasi afu weusi au maji y kunde awe ananyoa upara sio anaefuga nywele au kucha na mandevu
dah wewe bibie unweka masharti zaidi kila muda. Sasa mbona husemi kama uko tayari na wewe uwekewe masharti? Mfano ukiambiwa usiwe na uzito unaoziti kg fulani, uwe unapiga wax kwenye k kila baada ya wiki mbili, uwe na nywele za urefu fulani, uwe very good cook and mstaarabu wa kupita mitaani lakini a freak in bed utakubali?
 
Ha ha haha! sijui watu hapa wamekuwa wanambughudhi kwa kumpigia simu kila mara? Maana naona ame edit post yake na ameondosha numbari yake ya simu!!!!!!!
 
Kwahiyo wahaya tunamakosa gan 😃😃🤣
 
Kazi unayo mama!!!

Yaani tayari ni m'bovu bado unaweka masharti haya ngoja wa kabila lako wanakuja
Uzima wako ni upi hadi umuite mwenzako ni mbovu?

Watoto ni baraka.

Muombee apate hitaji la moyo wake
 
Kwan ni iyola wangu mbona unamsingiziaaaa

 
Duh Asa 50k tu kaona ela kubwa .....
Ata siamn mana nlkua nachat nae ko angekuja niliza ata mm alooo😂🙌
 
Mi ni single mom, mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe Mkristo, umri kuanzia 35+, asiwe Muhaya wala Mkurya, awe anajishughulisha!

ASANTE.
Kwa vile umetaja makabila mawili ambayo huyapendelei, ingekuwa vizuri na wewe ukataja kabila lako.
 
Back
Top Bottom