Sheria haziko hivo lakini ana haki hata kama hajalea labda kama akija mtoto akiwa tayari mtu mzima so atamface mtoto mwenyewe. Ila vhini ya 15yrs mtasumbuana tu.Ajitokeze baada y mtoto kukua na kuhangaik nae ? Kama ataniendesha kichwa labda nimerogwa kiufupi anisumbui akili ni Mimi ndie nimezaa kwa uchungu na kumlea pekeyangu kwaiyo awez nisumbua kwa lolote
vip kama utajua Yuko sehemu fulani na yeye akajua ulipo lakini akaamua kutokuja kukuona lakini mtoto akahitaji kumuona baba yake je utamzuia kwasababu ya chuki zenu? kama jibu ni NDIO huoni kwamba utakuwa hujamtendea haki mtoto?Ajitokeze baada y mtoto kukua na kuhangaik nae ? Kama ataniendesha kichwa labda nimerogwa kiufupi anisumbui akili ni Mimi ndie nimezaa kwa uchungu na kumlea pekeyangu kwaiyo awez nisumbua kwa lolote
MUNGU TU AJUAE KESHO YETUvip kama utajua Yuko sehemu fulani na yeye akajua ulipo lakini akaamua kutokuja kukuona lakini mtoto akahitaji kumuona baba yake je utamzuia kwasababu ya chuki zenu? kama jibu ni NDIO huoni kwamba utakuwa hujamtendea haki mtoto?
jibu swali mremboMUNGU TU AJUAE KESHO YETU
dah wewe bibie unweka masharti zaidi kila muda. Sasa mbona husemi kama uko tayari na wewe uwekewe masharti? Mfano ukiambiwa usiwe na uzito unaoziti kg fulani, uwe unapiga wax kwenye k kila baada ya wiki mbili, uwe na nywele za urefu fulani, uwe very good cook and mstaarabu wa kupita mitaani lakini a freak in bed utakubali?Hapana sipendi warefu Sana napenda wafupi wawe na mwili kiasi afu weusi au maji y kunde awe ananyoa upara sio anaefuga nywele au kucha na mandevu
Uzima wako ni upi hadi umuite mwenzako ni mbovu?Kazi unayo mama!!!
Yaani tayari ni m'bovu bado unaweka masharti haya ngoja wa kabila lako wanakuja
CautionMimi Nina 30, nipo tayar , shart langu huyo mwanao awe wa kike
Kwan ni iyola wangu mbona unamsingiziaaaaUmekula nauli hongera
Kwan ni iyola wangu mbona unamsingiziaaaa
Duh Asa 50k tu kaona ela kubwa .....Nimetapeliwa mwenzenu!
Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma! Kuna mwanamke humu kapost anataka mume, mimi nikampandia hewani, tukawekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana. Mwanamke akadai hana pesa nikamtigo pesa elfu 50 haraka na...www.jamiiforums.com
Kwa vile umetaja makabila mawili ambayo huyapendelei, ingekuwa vizuri na wewe ukataja kabila lako.Mi ni single mom, mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe Mkristo, umri kuanzia 35+, asiwe Muhaya wala Mkurya, awe anajishughulisha!
ASANTE.
Jichanganye 😂🙌....Kwa vile umetaja makabila mawili ambayo huyapendelei, ingekuwa vizuri na wewe ukataja kabila lako.