Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Kali ya mwakaš¤£š¤£š¤£š¤£!! Ndio vigezo vya murembo sasa itabidi mkakwangue hizo sharubu zenyu hahahaaa!!Upara halafu bila ndevu kweli??š
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kali ya mwakaš¤£š¤£š¤£š¤£!! Ndio vigezo vya murembo sasa itabidi mkakwangue hizo sharubu zenyu hahahaaa!!Upara halafu bila ndevu kweli??š
Inshort anatafuta Zungu la unga!šKali ya mwakaš¤£š¤£š¤£š¤£!! Ndio vigezo vya murembo sasa itabidi mkakwangue hizo sharubu zenyu hahahaaa!!
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£! Zungu la unga!! š!Inshort anatafuta Zungu la unga!š
Sasa wakurya tumekukosea nini jaman...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!
ASANTE
Mi ni Giresi ššWeee ni nani? Shenzi, Ed au Banzai?
Upigiwe debe wewe umekua gar???Hahaha nipigie debe basi mtu wangu?
Nijiripue?Mzamie hivohivo yaeza kuwa bahati yako !!
Acha ujinga wakoNjoo PM mrembo
Tuma picha ya kaburi la mume wakoMi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!
ASANTE
Test zaliiii banaa huwezi juaaaaš¤£!Nijiripue?
Kasema anapenda wafupi, weusi, wenye mwili, naona kote nakosa sifaTest zaliiii banaa huwezi juaaaaš¤£!
Ohooooooo hapo komaaa na dogoo tu!Kasema anapenda wafupi, weusi, wenye mwili, naona kote nakosa sifa
KaniblockOhooooooo hapo komaaa na dogoo tu!
Mi ni Giresi šš
Isije kuwa mleta mada ni wewe ID zimejichanganya