Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ungama hapa nakusikiliza mdogo angu, kwann uteseke na dhambi wakati tunakaribia kuingia kwaresima.??? 😜Sipendi uongo that's why nimesema ukweli.
Ila nina dhambi inanitafuna hadi sasa na sifahamu naikwepa vipi...
Haya nini kinakutafuna funguka………