Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Njoo bashuna haja ya kuweka nakuja direct 😌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo bashuna haja ya kuweka nakuja direct 😌
nfungulie nshafkaNjoo bas
Tayarinfungulie nshafka
asanteTayari
Fungua Pm nije kujitetea sasaasante
😂😂😂 Eeeh fanya utulieNgoja nitulie ili mpate shemeji Injinia wa umeme ndo mkimaliza ujenzi mnatuita tuwawekee wiring bure 🤣🤣
we're openFungua Pm nije kujitetea sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hujibu pm yangu?
Dini tutatumia yako
Duuh! Mkuu hadi mbibi wa 29 unaoa?Umri 20-29
Okwe're open
(90s)Siulisema bado unadeka? 😁mim sio muislam ila nita slim mkuu tafadhal nazeekea nyumbani,, kuhusu umri ntakudanganya tu usihofu😥😥
Hivi kumbe unaweza kuwa civil engineer na usiwe fundi mwashi? Au eng wa umeme halafu usiwe fundi umeme?Kwahiyo shemeji ni Eng wa umeme au fundi umeme?
Hata Civil Eng ni fundi lakini sio fundi mwashi 😂😂
Civil Eng ushamkuta juu ya nyumba anajenga boma/ anapaua?? Au kazi ni kuplan na kudirect mafundi sasa?Hivi kumbe unaweza kuwa civil engineer na usiwe fundi mwashi? Au eng wa umeme halafu usiwe fundi umeme?
Sikuhiz kilakitu tuna oda onlineNdugu yangu hivi mtaani umekosa madem mpk unakuja kutafuta online?
Yaan anafanya kazi Wizara ya nishatiMuajiliwa ndiyo nini? Hizi elimu mnazipataje?
kosa langu nini sasa si nataka wenzangu wapateSakazia tu wenzio
ooooh ah ayangoja tuwasubiri wagalatia na wakorintho wakija😁😁😁Asante Kwa taarifa mwenyekiti,tatizo kigezo number Moja kimenitoa ulingoni mi Mkolosai