Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Hivi kumbe unaweza kuwa civil engineer na usiwe fundi mwashi? Au eng wa umeme halafu usiwe fundi umeme?
Civil Eng ushamkuta juu ya nyumba anajenga boma/ anapaua?? Au kazi ni kuplan na kudirect mafundi sasa?
 
Back
Top Bottom