Natafuta mchumba

Kaoe karagwe tu wanawake wengine wakavu hawana maji, alafu awapendi kula ndizi.
 
Unatarajia mchumba kweli au kinyago?
 
Ujue haukuonyesha jinsia mkuu

Una bahati siku hizi madonati hayapo active sana yangefika pm yakwambie yanayowasibu
 
Mnyambo wa wapi Ankoli!!
Nenda kule karagwe kaisho totoz zipo za kutosha!kwanini utafute humu!!?

Hakuna malaika humu,ni hao hao unaowaona mtaani!
 
Waha wana adabu sana....
Wala siyo wabishi....ila wanapenda kusimamia kilicho sahihi.
Waha wana akili sana, siyo rahisi kumburuza muha.

Kwa kupenda kwao kusimamia kilicho sahihi, kunapelekea waonekane wabishi.


Waha siyo WACHAFU

Uchafu ni hulka binafsi.
 
nmewahi siti ya mbele kabisa 😫😫,,ila mweusi tii,nna mtoto,sipo mwanza😫😫

Nshakosa tayar 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
sasa si ukae kimya, unajichekesha nini hapa? ndo maana ni singo maza.
 
Humu hakuna mke utapoteza muda wako kuna wauza sura ya Simba wengi sana.
 

Aisee kuna rafiki yangu mmoja wa kike aliniomba ni mtafytie mwanaume wa kumuoa ambaye yuko serious 🤔 huyo mwanamke ni mshkaji wangu tu ila aliwahi kuwa na mahusiano ambayo alitarajia ndoa lkn aliachwa, kama huto jali tunaweza kuwasiliana kama uko serious ila nafahamu hadi umepost huku nadhani kweli una uhitaji wa mke unaweza kunicheck if you are ready
 
sasa si ukae kimya, unajichekesha nini hapa? ndo maana ni singo maza.
ukipgwa tukio uko unakuja kumalzia hasira zako kwangu,,peleka kinyeo uko mxiuuu,,kaa kimya janaume maneno ka mke wa balozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…