Natafuta mchumba

Habari mimi ni kijana wa miaka 33 ni mfanyabiashara ndogo ndogo Natafuta mchumba
Awe chini ya miaka 28
Awe mkristo
Awe Arusha/Moshi
Awe na Ajira
AHSANTE
Kuna mjukuu wangu ni mrembo kweli kweli, halafu ninafanya naye kazi kwenye kampuni moja ya ulinzi hapa jijini Tanga! Anaitwa ephen_!! Anagonga watu virungu huyo!! Acha kabisa.

Je, uko tayari nikuunganishe naye.?Wewe si unataka mwanamke mwenye ajira!
 
Huyo wa virungu odeee Mangi
 
Nyuzi za kutafuta wachumba ni ile mida ya nyege....usiku kama hivi ama alfajiri 😃
Nooo
No mida ya kutafakari life machngu ya upweke
Nyuzi za kutafuta wachumba ni ile mida ya nyege....usiku kama hivi ama alfajiri 😃
Boo
No mida ta kutafakari life,machungu ya upweke NA hapo ndipo gape linaonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…