Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali mumyAjira imenikosesha mchumba
Wengi wanastress sanaKwanini tena
Kuna mjukuu wangu ni mrembo kweli kweli, halafu ninafanya naye kazi kwenye kampuni moja ya ulinzi hapa jijini Tanga! Anaitwa ephen_!! Anagonga watu virungu huyo!! Acha kabisa.Habari mimi ni kijana wa miaka 33 ni mfanyabiashara ndogo ndogo Natafuta mchumba
Awe chini ya miaka 28
Awe mkristo
Awe Arusha/Moshi
Awe na Ajira
AHSANTE
Uko wapi...vipi tayari ushapata au bado?
Kwani wewe ni Ms RMimi nipo Arusha town
Ndo hapoAnataka mwenye ajira yeye anataka mke au nwekezaji?
Sasa expert member mbona unaniangusha? Ungekuwa new member ningeelewaHapana
Hawawekeki ila wengi wanapata wazuri kuwa na subiraSi una muweka tuu sawa
Sema Sex yakoHabari mimi ni kijana wa miaka 33 ni mfanyabiashara ndogo ndogo Natafuta mchumba
Awe chini ya miaka 28
Awe mkristo
Awe Arusha/Moshi
Awe na kazi/biashara yotote
AHSANTE
NoooNyuzi za kutafuta wachumba ni ile mida ya nyege....usiku kama hivi ama alfajiri 😃
BooNyuzi za kutafuta wachumba ni ile mida ya nyege....usiku kama hivi ama alfajiri 😃
nawewe umeanza hili swali sioUko wapi...
hutaki nje ya arusha unaogopa kuliwa nauliKama yapi boss