Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Kuna mtu kaniuliza hapa,hutojali kama ni 'bwawa' au 'kisima'? na je wewe pingili yako ni kipimo gani? yeye ana sifa zako zote.
 
Natafuta mchumba kuanzia miaka 18-22 ,awe na sifa zifuatazo

1.mweupe bila mkorogo/mweusi black beuty

2.awe na elimu ya kuanzia form 4 au kuendelea mwisho bachelor

3.awe na heshima na maadili kama mtanzania

4.mwenye kufocus maendeleo

...niko serous ni PM kwa maelezo zaidi
Kwa wenye upeo wa mbali, wa umri wa miaka 22 atakuwa bado anasoma labda umsubiri, Mchumba hutampata utaishia kudanganywa tu, we tafuta mke.Hapo utampata aliye serious.

Huo ndio mtazamo na ushauri wangu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom