Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wenye upeo wa mbali, wa umri wa miaka 22 atakuwa bado anasoma labda umsubiri, Mchumba hutampata utaishia kudanganywa tu, we tafuta mke.Hapo utampata aliye serious.Natafuta mchumba kuanzia miaka 18-22 ,awe na sifa zifuatazo
1.mweupe bila mkorogo/mweusi black beuty
2.awe na elimu ya kuanzia form 4 au kuendelea mwisho bachelor
3.awe na heshima na maadili kama mtanzania
4.mwenye kufocus maendeleo
...niko serous ni PM kwa maelezo zaidi