Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

omba mawasiliano,ongea nao kila mmoja,,uone yupi mazungumzo yanakwena naturally! omba kukutana na kila mmoja wao (outing)...yupi unafeel conected naye... kila la kheri!
Mawazo mazuri.......................
 
SIFA MOJA YA MCHUMBA WAKO UMEISAHAU.......AWE NA HASIRA NA MAFISADI( Kama SIGNATURE yako inavyosomeka)
................Siyo lazima awe na hasira na mafisadi bali walau awe anachukizwa na UFISADI
 
ila usije ukaonja kabla ya ndoa ivyo ni vibaya ,maana vijana
wa ciku izi wanasema wanonja kwanza waone kama utamu upo
 
hapana bwana........si wote tumenunuliwa usimkatishe tamaa mwenzako!!!!!!!!!!!
listen ma brooo..........i can be ya frend 1st b4 being in yr list of wachumba..as for me isnt u to asses me ....me too i want to check u km CODE N CHEMISTRY ZIPO BAINA YETU POA ...bt km mitazamo itapioshana siyo issue..........!!!!!!!

hii mambo si ya one way trafiki naitaji kukuchek km ambavyo waitaji kunichek na kunieximine.mipioa naogopa kuopoa galasa............lakini km kuna ao wengine ambao wanataka wachekiwe wao tu bila kukujua wewe kwa kindanij u may go ahead..........opoa ao!!!!!!!!!!!!!!

kuwa muungwana kwa kujielezea na wewe siyo wao tu wwatoe ma CV yao ..ni vzr pia akakujua na wewe ili aweze kukubeba vizuri aspokuju VYEMA na aliyodhani yamo kumbe hayamo ANAWEZA KUKUCHENJIA ONE MWEZ AFTA NDOA!!!!!!
best wishes!!!!!!!!!!!

mjadala ni apa apa jamvin ...........no ma email wala number!!!!!!!!!
 
Ur very right, yan saitama anataka yy kuasess lakin hajazungumzia upande wake, anaonesha jinsi gani alivyokuwa na mfumo dume
Cha msingi hata huyo atacayewin inabid akuchunguze kama chemestry zenu zinaendana
 
mjadala ni apa apa jamvin ...........no ma email wala number!!!!!!!!!
Nashukuru Rose kwa ushauri mzuri na itapofikia muda wa mjadala basi sote (walioomba na mie) tutaweka kila kitu hapa!!
 
Mkuu umekataza asiwe na mtoto,vipi kama ameshatoa mimba?
Ben ni vigumu ku-assess aliyetoa mimba...nadhani kigezo cha mtoto kuwa naye au hapana si muhimu sana kwa sasa.
 
Ur very right, yan saitama anataka yy kuasess lakin hajazungumzia upande wake, anaonesha jinsi gani alivyokuwa na mfumo dume Cha msingi hata huyo atacayewin inabid akuchunguze kama chemestry zenu zinaendana
Hapana Kabogo...nimekwisha weka wazi shughuli yangu, ipo wapi na miradi yangu ni ipi...hata umri nimesema......
 
Msisitizo kwa maombi maana deadline inakaribia.........................
gdpit_com_5610562_249.gif
http://http//www.avatarhosting.net/...ting.net/pics/15706/gdpit_com_5610562_249.gif
 
Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!! Nahitaji mchumba...jinene hivi lakini si unene wa mchina, miaka 30 mpaka 35, elimu fomu 4 na kuendelea, awe na shughuli yake binafsi, asiwe na mtoto....barua ya kwanza CV na picha viambatanishwe......................

Take care, utakutana na kina Gender Sensitive humu na utaingizwa mjini na utafilisiwa. Shauri lako!
 
Imebakia leo tu wadau na kesho saa 9 pazia linafungwa....shime jitokezeni kwa wingi!!
 
Mmmh
Wana JF mpaka sasa nashukuru nimepokei maombi 23....ila kati yao ni 12 tu ndiyo yametiza masharti ya maombi yaani kuambatanishwa kwa CV na picha!!! Mwisho wa kupokea maombi itakuwa Jumamosi tarehe 15 saa 9 mchana.....shime jitokezeni maana nipo MORE THAN SERIOUS na kwa wale watakao pita katika mchujo ningeomba wakubali mchakato mzima wa kumpata THE RIGHT ONE uwe wazi na kujadiliawa humu ndani.....maombi ya jinsi ya kuendesha zoezi hilo yanakaribishwa!!!
Mungu akupatie hitaji lako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom